Friday, May 15, 2015

Nafasi za Kazi Kilombero Sugar Limited


KILOMBERO SUGAR COMPANY LIMITED
NAFASI YA KAZI YA KUVUNA MUWA - NAFASI 561

Uongozi wa Kampuni ya Sukari Kilombero unatangaza nafasi ya kuvuna muwa katika msirnu wa uzalishaji wa 2015/2016.
 
1.    SIFA ZA MVUNAJI.
  • Awe na afya njema na mwenye nguvu.
  • Awe na tabia njema.
  • Awe tayari kufanya kazi na kutimiza malengo yaliyowekwa na Uongozi wa Kampuni toka mwanzo hadi mwisho wa msimu machi, 2016.
  • Waliokata msimu uliopita na kupata hati safi za utendaji kazi watafikiriwa kwanza.
2.Ajira ya wasimamizi, makarani, .na wengineo itafanyika tarehe 18/05/2015.
 
3.Ajira ya wavunaji itaanza tarehe 19/05/2015.

4.Watakaoajiriwa watapata nafasi za kulala kwenye makazi ya wavunaji.

5.Watakaoajiriwa tu ndio watakaorudishiwa nauli za usafiri kwa kuzingatia yiwango vya SUMATRA.

6.Tafadhali atakayesoma au kusikia tangazo hili awafahamishe wenzake.

APPLICATION INSTRUCTIONS:
Kilombero Sugar Company Limited
Msolwa Mill Office, Kldatu, Tanzania
P.O. Box 50, Kidatu,
Tanzania
Tel: (+255) 23 262 6011 Fax: (+255) 23 262 6188/262 69084
========
advert
Share your thoughts using below comment form!